UKAWA yahujumiwa Songea!

UKAWA yahujumiwa Songea!

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Songea unahujumiwa na Chadema, mmoja wa washirika wa UKAWA.

Leo katika soko kuu Songea kumefanyika mkutano wa UKAWA lakini mwanzo mwisho mkutano huo umetawaliwa na kaulimbiu za peopleeeees, power!. Aidha mwanzo mwisho jamaa walikuwa wananadi chadema tu wakati mkutano tumetangaziwa kuwa ni wa ukawa!

Jana gari LA matangazo lilipita mitaani likiwataka wanachi kujitokeza kwenye mkutano huo wa ukawa, chaajabu sijasikia hata neno ukawa likitajwa!!!

Cha kisikitisha na kuhuzunisha, mahudhurio hayajafikia hata watu 100!
 
ukawa watachekwa sana ngoja wakati wa harakati uanze watakuja kutafutana wala hawatajua wameingilia mlango gani.
 
Msiba wao uko tayari wanaojenga ukawa wote pole yao hakuna mtu hata mmoja ndani ya ukawa mwenye akili ya kuwaza kujenga taifa imara badala yake jamaa yanawaza madaraka tu.
 
Msiba wa ukawa hata matanga hauna itakuwa kimya kimya tu kama hawapo au wapo kumbe ndiyo basi.
 
wataka madaraka huwajui?si ni hao wanaong'ang'ania madaraka kwa kupiga mabomu kila mtu hata wanahabari na km hawapendi madaraka ni kwa nini wanatumia ubabe kwa vyombo vya dola?wote walio na mawazo mgando wataendelea kushabikia majambazi ljn naamini hata mijambazi hugeukana!hamtaendelea sana kabla laana haijawatafuna ! ovyo.
 
Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Songea unahujumiwa na Chadema, mmoja wa washirika wa UKAWA.

Leo katika soko kuu Songea kumefanyika mkutano wa UKAWA lakini mwanzo mwisho mkutano huo umetawaliwa na kaulimbiu za peopleeeees, power!. Aidha mwanzo mwisho jamaa walikuwa wananadi chadema tu wakati mkutano tumetangaziwa kuwa ni wa ukawa!

Jana gari LA matangazo lilipita mitaani likiwataka wanachi kujitokeza kwenye mkutano huo wa ukawa, chaajabu sijasikia hata neno ukawa likitajwa!!!

Cha kisikitisha na kuhuzunisha, mahudhurio hayajafikia hata watu 100!

Acha uongo wewe,hivi unadhani wote walioko Jf ni watoto wadogo,wenye mawazo finyu kama wewe? Soko kuu Songea kuna eneo gani la kufanyia mikutano? Sometimes uwe na staha na pia ujionee aibu kwa ku post uongo,Mikutano yote ya Chadema,NCCR MAGEUZI au Cuf inafanyikaga Viwanja vya Matalawe au Majengo sokoni na siyo soko kuu..Acha kupotosha
 
Ukute hata songea kwenyewe hakujui
 
Back
Top Bottom