Punguani mazuzu ndio wanaopata hela ya kuhongwa. Lowasa atapigiwa kura na wenye kuelewa uwezo wake na sio mafisadi uchwaraMagufuli Oyeee. Hata sisi UKAWA tunamkubali bali Mzee Lowassa tunamzuga ili tule hela yake anayoturudishia kiaina. Upo hapo
Aibu hapo ni nin? Hivi baba ako alikupeleka shule ili uwe mjinga ama mwerevu?
Makamba pia angefaa kuliko yeroo pia ilikua ni haki yake na uzuri ni mtu muelewa sana! Aya alivyokosa kahama chama!? Kaanzisha chama chake!? Ana makandokando ya kumpoteza akili!?
Ukawa ni janga sugu la wazawa hafai kabisa.
Kwani wewe ni Mjinga?napenda aliposema uchaguzi wa mwaka huu mgumu hivyo kuwataka wanaccm kujipanga. kumbe anajua kazi ipo mwaka huu. Waanze kujiandaa kisaikolojia kuachia nchi. cha ajabu mkutano wenyeww haukuwa na watu kabisa hii ni dalili mbaya kwa mgombea ubunge wa ccm