UKAWA wavunja ndoa yangu

UKAWA wavunja ndoa yangu

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
333
Jamani wanajamvi hamjambo?

Nasikitika sana mke wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue mke wangu kashanitema, jamani UKAWA nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu?

Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.
 
Mke wako au demu wako? Hizi ndoa za cku hizi bwana...
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu, pengine huyo ni Mchepuko wa kigogo wa CCM halafu anakuzuga wewe...

Komaa na UKAWA uikomboe nchi kwanza, hakikisha kura unampigia Lowassa tukomboe nchi.
 
Startimes ikileta mawimbi mengi toa weka dstv.. Picha clear. Ushanielewa.!
 
Pole HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MKONO

LOWASSA=MABADILIKO MABADILIKO=LOWASSA
 
Jamani Wanajamvi hamjambo?
Nasikitika sana demu wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue demu wangu kashanitema, jamani UKAWA Nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu? Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.
Huyo vp!?
Kama uko interested sema nikutumie namba...
#najua_ni_mzuri_kuliko_hilo_gamba
 
Attachments

  • 1440854299751.jpg
    1440854299751.jpg
    28.5 KB · Views: 1,152
Jamani Wanajamvi hamjambo?
Nasikitika sana demu wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue demu wangu kashanitema, jamani UKAWA Nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu? Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.

Huna la maana la kuuliza
 
Tafuta demu ukawa. Wapo bomba sana asikupeleke kizamani maana swaga za ccm ni zakizamani alaaaaa!!
 
Jamani Wanajamvi hamjambo?
Nasikitika sana demu wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue demu wangu kashanitema, jamani UKAWA Nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu? Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.

Achana nae ukipata mke uliyemuoa kwa ndoa akakuacha nitabadilisha ushauri wangu.
 
Jamani Wanajamvi hamjambo?
Nasikitika sana demu wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue demu wangu kashanitema, jamani UKAWA Nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu? Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.

Hujawaona warembo wa M4C hapo? kamata mkali zaidi yake hadi akupigie salite!!
 
Back
Top Bottom