mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Wameshashindwa tayari. Matokeo yake ni hii mifarakano ya chini kwa chini. Kinachowaunganisha ni vijisenti vya Eddo. Akikata mrija tu, timbwili lake mtalishuhudia
Unahisi Nini kitatokea baada ya matokeo ya urais kuwa Lowassa kashindwa uchaguzi oct 25?