UKAWA Washinda Uwenyekiti wa Halmashauri Mji mdogo wa Ifakara Tarehe 25.01.2016

bazoka

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
300
142
Halmashauri ya Ifakara

Mwenyekiti: Mashaka Mbilinyi (Kata ya Viwanja 60)

Makamu Mkiti: Sambo Maganga (Kata ya Mlabani)

Wote wa Chadema

=================

Uchaguzi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Ifakara umekamilika na matokeo ni kama ifuatavyo;
Mwenyekiti: Mashaka Mbilinyi (Kata ya Viwanja 60) kura 7 vs 4.
Makamu Mkiti: Sambo Maganga (Kata ya Mlabani) kura 7 vs 4.

Unaweza kuona kuwa kura za upande wa CHADEMA ambazo zilipaswa kuwa 9, zimepungua na kuwa saba kwa sababu mpiga kura mmoja ambaye pia alikuwa mgombea wa Umakamu Mkiti alisafiri kwa dharura na kura nyingine ni ya Diwani Lijualikali ambaye pia ndiye Mbunge wa Kilombero ambaye pia ni mpiga kura kwenye Halmashauri ya Kilombero.

Walioshinda nafasi hizo wote wanatokana na CHADEMA.
Kwa upande wa Halmashauri ya Kilombero bado sintofahamu haijapata ufumbuzi ambapo wajumbe wamerudi kikaoni kuendelea kusubiri hicho kinachodaiwa kuwa 'maelekezo kutoka juu'.

Makene
 
Back
Top Bottom