UKAWA wangeruhusu maandamano yasiyo na kikomo ya CCM?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,051
12,573
Great thinkers wa JF:
Kwa wale wageni na wasio na mahaba ya vyama, ukiona nembo ya BANNED, rangi nyekundu badala ya picha ya member wa JF ujue mhusika yupo kifungoni baada ya mahaba ya chama kumpanda kichwani akala BAN.

Nirudi kwenye maada:

Kama mnavyokumbuka UKAWA walivyokuwa wepesi wa kutukana, kufukuza kila mwanachama aliyekuwa anampinga mamvi kununua umoja huo. Sasa cha kujiuliza (ingawa hii ni ndoto), kama wangeshinda urais na kushika dola, serikali ya UKAWA chini ya waziri mkuu Mbowe wangekubali maandamano yasiyokuwa na kikomo ya wanaCCM?



Hebu tujadili, je wangekubali wana CCM tuandamane bila kikomo?
 
Inategemea na hayo maandamano ambayo chama jani kingeyaleta , kama ni ya kijinga nikuya-abolish tu hamna namna , tofauti nahili la UKAWA kutetea democrasia ndani ya nchi hii inayobinywa na 'mtukufu' waziwazi.
 
Back
Top Bottom