UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

The Worshiper

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
302
Reaction score
89
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.
 
Huu ni ujinga kabisa hakuna nchi ambayo inaweza kutetea hii rasimu ya Warioba kwani kwa jinsi ilivyo itawanyima fursa ya kuendelea kutuibia kwa hiyo Chama ambacho kinaweza kufadhiriwa na kinafadhiriwa ili kuvuruga mchakato huu ni CCM kwani wanapingana na maoni ya wananchi ambayo kiuhalisia ni kikwazo kwa wezi wa rasilimali zetu.
 
usituletee habr za vyama 7 ambavyo viongoz wao weng n wagonjwa wa a~ak.li akiwepo huyo uliyemtaja kwanza. Damu ya watu wa nch hii itatakwa mikononi mwenu, ngoma ikilia sana... hamuishi uzush kila kukicha msidhan kwakukaa kimya tunafurahia uzush wenu. mmempinga mzee Walioba na kumbeza ikiwa pamoja na matusi ya wazwaz bado mnazd kuleta na mengen.
 
The Worshiper nakudharau,unamwabudu nani?Kama si shetani basi ni ujinga!Aliyetoa hizo takwimu na maneno ndiye ANAYETUMIKA KUTUVURUGA.Usidanganywe
 
yan hadithi zingine bana atta mtt wa miaka 3anajua kua ni uwongo waambie watanzania hawa si wa mwaka 47
 
Huyo Matefu anajua uhusiano wa Oman na Tanzania na haswa rais anayetawala kwa sasa.
 
Si nao wapandie dau kuwazidi Oman na Uholanzi kama shida ya UKAWA ni pesa?.
 
Takataka kama hizi baadaye huwa zinatumika kama ushahidi na maandiko yakisha andikwa huwa hayafutiki, Nina hokumbuka kuna mwanahabari mmoja huko Kenya ameshitakiwa kutokana na kuchochoe machafuko ya mwaka 2011 baada ya Uchaguzi. Naona kituo cha propaganda cha ccm mmeamua kupita njia waluyopita wenzenu....oky endeleeni tena msirudi nyuma

Ila hakuna mnayempata kwenye propaganda zenu uchwara kama hizi. Maana tukiwaambia mlete ushahidi wa hizo fedha kuingizwa kwenye account binafsi za viongozi wa UKAWA na sehemu zilikotoka hamna huo ushahidi. Hivyo mnafanya kujifurahisha tu ninyi na mashabiki wenu wapumbavu

BACK TANGANYIKA
 
Mambo mengine kama haya sio ya kuleta hapa jamani! Tukianza kujadili uzi kama huu sote tutaonekana wenda wazimu kama Matefu; Makonda; Nape na wengineo kama hao; BS
 
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.
Njia ya mwongo ni fupi. Huyo bwana Matefu kama kweli anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke mahakamani au cho chote kinachohusika na UZUIAJIA WA PESA CHAFU? Anatakiwa aeleze hizo pesa ziliingia kupitia acc ipi na lini. Siyo kubwatuka bwatuka tu na KUKATUMIA KARADIO KAO KA CHAMA KULETA HEWANI UPUUZI KAMA HUU.
 
Tujikumbushe jinsi huyu Matefu alivyoandaa vijana kupinga matokeo ya uchaguzi wa UVCCM, jambo lililosababisha machafuko makubwa pale Lumumba hadi vijana wakatoana ngeu. Sasa sijui hayo machafuko aliyoyasababisha alifadhiliwa na nchi gani!!
UVCCM hali bado tete

Matefu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka katika Mkoa wa Morogoro alisema mwenyekiti wa chama, anapaswa kutengua matokeo hayo kwa kuwa uchaguzi ulikithiri kwa vitendo vya rushwa.

Alisema katika uchaguzi huo wajumbe waliopiga kura walizidi nusu ya wajumbe wote 700 walioshiriki uchaguzi huo.

Alisema jina lake liliondolewa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba kitendo hicho kilifanywa na baadhi ya makada wa UVCCM.

“Endapo hakutakuwa na hatua itakayochukuliwa na mwenyekiti, basi sisi tutakwenda katika Mkutano Mkuu wa Chama Taifa (NEC) utakaofanyika Novemba 6 mwaka huu kupinga usifanyike hadi pale hatua itakapochukuliwa,” alisema Matefu.

Matefu alikiri kuwaandaa vijana waliojitokeza wakiwa na mabango ya kupinga ushindi wa mwenyekiti mpya wa UVCCM, wakati utambulisho wa ugeni huo katika ofisi za makao makuu ya UVCCM.

Sherehe za kuwakaribisha viongozi wapya ziligeuka uwanja wa vita baada ya makundi yanayopingana, kuchapana makonde hadharani na kuwaacha umati wa watu wakiwashangaa.

Wiki iliyopita, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mjini Dodoma, kundi la vijana kutoka mikoa mbalimbali walipinga vitendo vya rushwa huku wakiwatuhumu viongozi wa UVCCM na baadhi ya makada wa chama hicho kwa kuhusika.

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Ingekuwa habari hii ina chembe ya ukweli, nina uhakika Mbowe na Slaa wangekuwa central police wakihojiwa walikopata pesa hizo. Magamba noma sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haa haa mwaka huu magamba mtajiju. Ukawa waacheni matahira walioko dodoma wahangaike. Mara waguse hapa mara pale. Hongereni wana ukawa!
 
Huu ni ujinga kabisa hakuna nchi ambayo inaweza kutetea hii rasimu ya Warioba kwani kwa jinsi ilivyo itawanyima fursa ya kuendelea kutuibia kwa hiyo Chama ambacho kinaweza kufadhiriwa na kinafadhiriwa ili kuvuruga mchakato huu ni CCM kwani wanapingana na maoni ya wananchi ambayo kiuhalisia ni kikwazo kwa wezi wa rasilimali zetu.

huyu nae hana akili
 
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.

Sidanyanyiiiiki!!!!!
 
Sidanyanyiiiiiiiiiiki!!!
 
Back
Top Bottom