UKAWA wanafanya Press conference muda huu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,715
Reaction score
59,249
Mbatia: Tuko pamoja tunaendelea vizuri ndani ya UKAWA hakuna mgogoro wala mgongano -

Mbowe: Hatuna imani na tume ya uchaguzi kutushawishi kuwa ina nia njema na uchaguzi wa mwaka huu. Imekuwa na usiri mkubwa wa kiutendaji

Mbowe: Itafanya mikakati kwa hila kuisaidia ccm, kwa hatua ya sasa mwenyekiti wa tume hastahili kuwa ofisini ana cheza na amani ya nchi .

Mbowe: Mpaka sasa haijatoa ratiba ya kuandikisha kwenye vituo vyote, haijulikani mpaka sasa uandikishaji unaishia lini.

Mbowe: Wale wanao piga ramli kuwa ukawa itavunjika watasubiri sana! Hauvunjiki.

Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga
===================


Chanzo ni Nipashe ya 1st May 2015

 
Watupe orodha ya majimbo waliyogawana NCCR ,CUF na NLD wamepata mangapi,waache kupiga piga chenga
 
Ukawa watuambie kwa nini jana Mbatia na wajumbe wa NCCR Mageuzi walitoka nje ya kikao kwa hasira kabla hakijamalizika.
 
Any updates kuhusu mgombea uraisi na mwenza kupitia UKAWA atatokea chama gani.......
 
Ulivyokurupuka utafikiri umekalia kigogo... Mambo ya UKAWA unakuhusu nini? endeleeni na Association of Criminals in Tanzania ... Crime Rates itaendelea kuwa juu hadi baada ya Uchaguzi Mkuu! Hilo tunalitambua maana ESCROW haikuwatosha ... UKAWA ndo suluhisho la Umasikini kwa Watanzania waliochoka kupuuzwa, kunyanyaswa na kudharauliwa Huku Rasilimali zao zikitapanywa hovyo ....

Watupe orodha ya majimbo waliyogawana NCCR ,CUF na NLD wamepata mangapi,waache kupiga piga chenga
 
Kila la kheri viongozi wetu. Sisi huku tumejiandaa kwa hali na mali ili oktoba wale kina "Thomaso" waamini "kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…