UKAWA wanachukua nchi kwa style hii

UKAWA wanachukua nchi kwa style hii

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
Sasa mambo yanakaribia kuiva ile safari ya uhakika nje ya CCM naona si muda mrefu mambo yatakuwa byeee.

Hiyo ni operation maalum iliyopewa jina toroka uje itakayopita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25.

Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ) . Ruvuma, Mbeya na Iringa kanda ya kusini (itaongozwa na Sugu na Msigwa.) .

Kanda ya kati Dodoma , Singida na Morogoro ( itaongozwa na Lissu ) kanda ya ziwa itaongozwa na makamanda sita .

Kanda ya kaskazini itaongozwa na kamanda Ndesamburo akiwa na makamanda sita.

Kanda ya magharibi itaongozwa na Kafulila na kanda ya pwani kati yenye mikoa ya Dar na Tanga itaongozwa na Kubenea , Mnyika na Mdee.

Kazi ndio imeanza upya ndani ya hizi siku 30 tutegemee CCM kusambaratika zaidi.

UKAWA nimewakubali kwa mikakati yenu hii haina tofauti na ile ya uhuru kenyata katika kampeni zake siku 30 za mwisho alitia chopa kumi angani na wafanyakazi elfu nne kutoka kila Kijiji kilichopo Kenya na akashinda kwa kishindo kikubwa.
 
Ukombozi mpya umesema kweli ukianzisha thread ya UKAWA inafinywa...Ukianzisha CCM unaachiwa watu wanasoma sijui ndio..nini???? Ktk Jamii forum...Jf kama mnafanya hivi mnakosea sana...!!!!
 
Sasa mambo yanakaribia kuiva ile safari ya uhakika nje ya CCM naona si muda mrefu mambo yatakuwa byeee.

Hiyo ni operation maalum iliyopewa jina toroka uje itakayopita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25.

Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ) . Ruvuma, Mbeya na Iringa kanda ya kusini (itaongozwa na Sugu na Msigwa.) .

Kanda ya kati Dodoma , Singida na Morogoro ( itaongozwa na Lissu ) kanda ya ziwa itaongozwa na makamanda sita .

Kanda ya kaskazini itaongozwa na kamanda Ndesamburo akiwa na makamanda sita.

Kanda ya magharibi itaongozwa na Kafulila na kanda ya pwani kati yenye mikoa ya Dar na Tanga itaongozwa na Kubenea , Mnyika na Mdee.

Kazi ndio imeanza upya ndani ya hizi siku 30 tutegemee CCM kusambaratika zaidi.

UKAWA nimewakubali kwa mikakati yenu hii haina tofauti na ile ya uhuru kenyata katika kampeni zake siku 30 za mwisho alitia chopa kumi angani na wafanyakazi elfu nne kutoka kila Kijiji kilichopo Kenya na akashinda kwa kishindo kikubwa.

Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa
 
Hii ina maana JF ni kwa ajili ya CCM nini...tuelezeni mapema ili kama vipi TUJITOE Kwenye Forum yenu ya UBINAFSI PASINA HAKI....!!!!!!????
 
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Karangalala tayari kuhutubia wakazi wa Geita mjini.​

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake wa kampeni.
 
Sasa mambo yanakaribia kuiva ile safari ya uhakika nje ya CCM naona si muda mrefu mambo yatakuwa byeee.

Hiyo ni operation maalum iliyopewa jina toroka uje itakayopita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25.

Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ) . Ruvuma, Mbeya na Iringa kanda ya kusini (itaongozwa na Sugu na Msigwa.) .

Kanda ya kati Dodoma , Singida na Morogoro ( itaongozwa na Lissu ) kanda ya ziwa itaongozwa na makamanda sita .

Kanda ya kaskazini itaongozwa na kamanda Ndesamburo akiwa na makamanda sita.

Kanda ya magharibi itaongozwa na Kafulila na kanda ya pwani kati yenye mikoa ya Dar na Tanga itaongozwa na Kubenea , Mnyika na Mdee.

Kazi ndio imeanza upya ndani ya hizi siku 30 tutegemee CCM kusambaratika zaidi.

UKAWA nimewakubali kwa mikakati yenu hii haina tofauti na ile ya uhuru kenyata katika kampeni zake siku 30 za mwisho alitia chopa kumi angani na wafanyakazi elfu nne kutoka kila Kijiji kilichopo Kenya na akashinda kwa kishindo kikubwa.

Ccm lazma wakabiz inchi mwaka huu
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa

Mabilioni mliowahonga akina Slaa na Lipumba na malipo ya wasanii kwanini msiwalipe watumishi wenu waliokosa malipo ya pensheni kisa hakuna pesa?
 
Sasa mambo yanakaribia kuiva ile safari ya uhakika nje ya CCM naona si muda mrefu mambo yatakuwa byeee.

Hiyo ni operation maalum iliyopewa jina toroka uje itakayopita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25.

Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ) . Ruvuma, Mbeya na Iringa kanda ya kusini (itaongozwa na Sugu na Msigwa.) .

Kanda ya kati Dodoma , Singida na Morogoro ( itaongozwa na Lissu ) kanda ya ziwa itaongozwa na makamanda sita .

Kanda ya kaskazini itaongozwa na kamanda Ndesamburo akiwa na makamanda sita.

Kanda ya magharibi itaongozwa na Kafulila na kanda ya pwani kati yenye mikoa ya Dar na Tanga itaongozwa na Kubenea , Mnyika na Mdee.

Kazi ndio imeanza upya ndani ya hizi siku 30 tutegemee CCM kusambaratika zaidi.

UKAWA nimewakubali kwa mikakati yenu hii haina tofauti na ile ya uhuru kenyata katika kampeni zake siku 30 za mwisho alitia chopa kumi angani na wafanyakazi elfu nne kutoka kila Kijiji kilichopo Kenya na akashinda kwa kishindo kikubwa.

Habari za uhakika ni kwamba, Uhuru Kenyatta hakushinda uchaguzi bali walimpora Mjaluo wa watu. Huo ndo ukweli.
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa
Inunue SERIKALI kwani wizara ya afya kazi yake nini?
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa
Watanzania wote chini ya mfumo CCM ni kama tunaumwa! Dawa ya kuliponya taifa letu ni hiyo ya ujumbe wa makamanda hao. Ili itufikie haraka hatuna budi kutumia chopa hizo kwa matumaini kuwa 25/10 tutakuwa tumepona!!
 
Hakuna shida; kama JF wamedhanunuliwa tutatumia njia nyingine k.v whattapp. Hata hivo Tumeshafanya maamuzi waTZ Asilimia 75. JF haiwezi kutubadilisha. PIPOOOOOZ.
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa
Mabilioni kwa Prof. Pumba, Dr. Mihogo, Mafuso/UDA za kuwafata & 10,000 za kuwakusanya wananchi, Mabango kila kona wakati mnajulikana etc. Au choteni kidogo tu ESCROW tatizo kwisha.
 
Hali ya uchumi baada ya uchaguzi itakuaje? Kutakua na hela benki kuu?
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa

ushauri huu peleka lumumba
 
Back
Top Bottom