UKAWA wamepata wapi ridhaa ya kudai katiba ya wananchi?

UKAWA wamepata wapi ridhaa ya kudai katiba ya wananchi?

CHIBOLO 1

Senior Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
110
Reaction score
8
Mnaposema UKAWA ni umoja wa wananchi wa kudai katiba mpya ni wananchi gani? Wapi mlipata hiyo ridhaa ya wananchi?
 
Nahitaji kujuwa ukawa kuwa ndio umoja wawananchi nivigezovipi vilivyo tumika? Niutaratibu upi uliyotumika iliionekane ukawa ipo sahihi?
 
Munaposema ukawa ni umoja wawananchi wakudai katba mpya ni wananchi gani? Wapi mulipata hiyo ridha ya wananchi?

Hiyo ridhaa inatokokana na kuunga kwao maoni ya wananchi kutokana na rasimu ya pili ya katiba mpya yaliyokusanywa na tume ya warioba
 
Wananchi waligawanyika ktk makundi tofauti kulingana na upeo na mamuzi ya watu nandio maana Wazanzibar walihitaji mungano wa mkataba 60% chakushangaza Jaji warioba akaja na serikali -3 uku akisahau wapo waliohitaji serikali- 2 hatakama walikuwa wawili hoja umoja wa ukawa umepata wapi ridha ya wananchi
 
Soma hapa ukimaliza kusoma yatosha jibu utakuwa nalo.
B7kazini, kuna wahuni zaidi yawalioko ccm wauza madawa ya kulevya, mafisadi,majangili,wameua reli,wameua elimu wao wanasoma nje,wanasema laki3haziwatoshi kwa siku wakati mwl analipwa 180000/= kwa mwezi,wanatengeneza kanuni za bmk mwezi mzima kabla hazija tumika zinabadilishwa,Wamtanguliza warioba kuhutubia bunge kabla halijazinduliwa.kwa uchache.
 
Munaposema ukawa ni umoja wawananchi wakudai katba mpya ni wananchi gani? Wapi mulipata hiyo ridha ya wananchi?

...nadhani wachawi walio kuloga wamekufa. Mwezi mchanga kabsaaa...!?
 
Maskini wewe hujitambui....ukawa wanatetea maoni ya wananchi yasichakachuliwe na magamba.
 
Wananchi waligawanyika ktk makundi tofauti kulingana na upeo na mamuzi ya watu nandio maana Wazanzibar walihitaji mungano wa mkataba 60% chakushangaza Jaji warioba akaja na serikali -3 uku akisahau wapo waliohitaji serikali- 2 hatakama walikuwa wawili hoja umoja wa ukawa umepata wapi ridha ya wananchi

Mimi na wananchi wenzangu toka Zanzibar na Bara tumewapa ridhaa, sijui unatakaje sasa
 
mnaposema ukawa ni umoja wa wananchi wa kudai katiba mpya ni wananchi gani? Wapi mlipata hiyo ridhaa ya wananchi?

tumia akili kidogo tu. Kwani wananchi ni kina nani??? Hata wao ukawa ni wananchi.mwananchi ni mmoja but kukiwa na zaidi ya mtu mmoja hapo unapata wananchi so ukiunganisha lipumba,slaa, mbowe,sugu,kafulila,hamad etc unapata more than one person hence wananchi.....ni sawa na unapobanwa na h.a.j.a. Huna haja ya kuomba ridhaa ya mtu.use brain you hopeless creature
 
Nimekuwa nikiskia wachawi wakiwaita wachamungu eti waliopote,na wacha mungu wakiwaita wachawi walio potea, kweli huwezi kujua wapinisahihi? hadi kusema ukawa hawana ridha ya wananchi kwani wanadai maslahi ya familia zao au taifa, acha kupenda kama CCM.
 
Back
Top Bottom