UKAWA wamepaniki baada ya kuona hii picha

UKAWA wamepaniki baada ya kuona hii picha

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12189994_430884393767680_5117323741490129036_n.jpg
 
Power trend research shows, its very easy to get power in 21 century, and very difficult to use that power, but also very very easy to loose it.

Unapomuona magufuli anacheka anakazi kubwa mbele akianzia Zanzibar, Mwanza kuwa Geneva, million 50 mila kijiji, elimu bure January. Na ahadi lukuki zilizozidi trillion 70.

Kama hujanielewa, utaelewa kwa mini Abraham Lincoln aliingia kijana whitehouse baada ya miaka mine alionekana kikiongwe.


Mimi namtumtakia utumishi mwema ila hautakuwa mwepesi.
 
Tunataka Raisi achape kazi ili kusaidia mwananchi wa kawaida aweze kupata huduma muhimu, huduma muhimu za afya maji na elimu. Wananchi wamechoshwa na maneno, na porojo za kisiasa.
 
Nini tofauti na yule aliye sema elimu itakuwa bure mpaka chuo kikuu au yeye alikuwa ahadi zake zina anza kuanzia mwezi April? Jambo muhimu ni
Kuweka misingi bora kwenye starting point yake shida mtanzania wa leo unataka kupewa pesa mfukoni, well tunahitaji base bora kwenye mambo ya msingi ambayo watendaji wengi wazembe ndio wanakuwa hawafanyii kazi huku chini na hawa ndio wanatakiwa kuonyeshwa milango ya kutokea mapema sana
 
Back
Top Bottom