UKAWA wamchenjia Freeman Mbowe...

Status
Not open for further replies.
alipompigia simu alimpata kwa sida sana". willy gamba kumbe bado anaishi.

hahahahahahah... JF ni zaidi ya burudani! hawa wenye kazi Maalumu pale Lumumba huwa wanajisahau sana wakati mwingine...
 
Yaani wewe mtu asipopokea simu kwa mda kadhaa ndio kakimbia kikao???
Hujawahi kuwa na mambo muhimu kwa wakati mmoja so kila moja ukalitenda kwa mda wake????
Hoja dhaifu unazileta mtoa post
 
alipompigia simu alimpata kwa sida sana". willy gamba kumbe bado anaishi.

Yaani ilikuwa inakatika katika na wakati mwingine inapanda na kushuka. He he he CCM inaviroja acha tuu!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
N:B Viongozi wa chadema hawafai kuaminiwa hata kidogo...

"Kama unaanzisha mada na unakoment namna hii basi hupaswi kuaminiwa,umeonesha chuki zako kwa UKAWA na hii inadhihirisha kama ulicholeta hapa ni umbea na si taarifa.POLE SANA IT IS TOO LATE!"
 
na wewe tunakudharau,kama tunavowadharau wale CCM waliobaki bunge la Interehamwe peke yao,huku wakishangiria kwa style ya kukata viuno,na watoto wao wanawaangalia kwenye TV Jjinsi mama zao na baba zao walio weledi wa kukata mabuno.
 
Leo hii CUF vijana wa ufipa mliita CCM B sasa leo mko pamoja mnaneng'eneka tu mitaa ya dom sasa nyie mna tofauti gani na mawazo ya babu yenu slaa "tukishika dola tutaruhusu utengenezaji wa gongo kisheria"
 
hahahahahahah... JF ni zaidi ya burudani! hawa wenye kazi Maalumu pale Lumumba huwa wanajisahau sana wakati mwingine...

"Alipompigia simu alimpata kwa shida sana"
1: Ilikuwa haipatikani.
2:Ilikuwa inakatika
3: Network ilikuwa ina search
4:Mpigiwa sauti ilisikika kwa mbali kiasi kwamba ilibidi mpigaji apaze sauti sana
5: Line zingine zilikuwa hazipatikani kutokana na mvua.
6:Alikuwa Ikulu kwa mkuu wa Nchi anapewa maelekezo.
 
Ukawa nje ya bunge ipo wapi hizi ni mbio za sakafuni zinakoishia inafahamika kabisa.
 
mleta mada umekurupuka, nani kakwambia kuchelewa kikao ni kujitoa kikaoni? mara ngap mnachelewaga vikaoni na mnabaki kuwa wajumbe? UKAWA ni sauti ya umma
 
Yaani wewe mtu asipopokea simu kwa mda kadhaa ndio kakimbia kikao???
Hujawahi kuwa na mambo muhimu kwa wakati mmoja so kila moja ukalitenda kwa mda wake????
Hoja dhaifu unazileta mtoa post

Hata kama utakuwa nayo yapange kwa vipaumbele.
Huwezi kula na wakati huohuo unajisaidia chooni. Have a priority and give choice.
 
na wewe tunakudharau,kama tunavowadharau wale CCM waliobaki bunge la Interehamwe peke yao,huku wakishangiria kwa style ya kukata viuno,na watoto wao wanawaangalia kwenye TV Jjinsi mama zao na baba zao walio weledi wa kukata mabuno.
Tangu lini bavicha akawa na akili kwenye hii nchi kazi yenu ni matusi kama anavyofanya lisu mambo mengine hamyawezi kamwe hasa yale yanayohusu ujengaji wa hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…