UKAWA wakutana kwa dharula

Tutoke barabarani tanzania nzima tuone tujeshi twao kama hawatakimbia na kuungana nasi
 
Hakuna cha mafuriko feki, uchakachuzi ndiyo unaowapa ushindi, ila nisikushangae maana inawezekana na wewe ni mmoja wa ma mbumbumbu yaliyojaa Tanzania.

Hahaaa ukiwa tz hii ukiwa mpinzani eti ndo una akili. CCM mbumbumbu!
 


yaan umenena mtu ambaye una ushahidi kabisa ni list of shame ukatuambia ni nyoka leo eti ni samaki tumle??
 
NEC ya ccm na ndiyo maana wanatangaza mambo yayochukuliwa na ccm.
 
Haki inapaswa kuonekana kutendeka. Mbona hugo Zanzibar wameshikwa na kigugumizi katika kitoa matokeo? Hivi hawa watawala kweli wana nia ya kutoa haki na usawa? Tujiulize bila kuweka ushabiki wa kipuuzi
 

mkuu hii ni tafsiri yako weka bandiko la english hii haijakaa sawa na nilivyomsikia kwenye taarifa ya habari jana usiku itv
 
Jiwe limerushwa na magufuli gizani naona mbowe katoa sauti
 
Tatizo la mzee lubuva ni kuwa anapopewa matokeo yeye anajua ni original kumbe vijana wa IT wa chama wameshatengeneza fake result.
 
Unaandika lakini?
Hii bila shaka itakuwa ni kubadilisha gia kwenye kina kirefu cha bahari-- haya matokeo ya Tunduma yametangazwa lini?!
Jana wakati wanatangaza wewe ulikuwa wapi?
 
Nategemea baada ya kutoka kwenye kikao na wao watajitangaza washindi kama Maalim Seif Hamad.

Ni kweli...alafu tutamtawaza rasmi Lowassa kuwa rais wa UKAWA alafu Mbowe achukue nafasi ya Dr Slaa
 
Jipange na kujikagua makosa, Shida ni kwamba Lowasa ndio watu wamemtilia shaka kuondosha tatizo la Watanzania! Na nchi haiwezi kupasuka kiurahisi kama unavyofikiria, sio kila mtu atafanywa Chambo barabarani.
 
Kubali mwenyewe we si ukawa kama kweli we ni ukawa hukujua maana ya mabadiliko. Mambo yanaenda kwa malengo ya mtu fulani.
Hayo malengo ya mtu filami ndio yameiangusha Chadema, kwa kutetea Matakwa ya mtu binafsi badala ya kumsimamisha mzalendo wa Ukawa.
 
Hakika Magufuli ni mtu wa watu.

Rais Magufuli, Rais Magufuli ujue unakubalika sana.

Rais Magufuli ujue nini?

Acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…