UKAWA wakijibu mapigo, taifa litazizima

UKAWA wakijibu mapigo, taifa litazizima

Kesho ni kesho asiye na mwana aeleke jewe
 
Kesho nimekula wali na kuku .sio jana.


swissme
 
Siku ukawa wakijibu mapigo taifa litazizima,ukawa ni chama kubwa sana,kwa hiyo wana ukawa msiwe na wasisi kabisa,siku ya kumtangaza mgombea wetu tutajibu mapigo kwa kiwango cha juu sana,wasano watapaform wengi tu,tutaruka live siku nzima tv zote

Hujaijua Tanzania ndugu,wala wanasiasa hujawajua ila unajitahidi tu kushabikia,ni vyema kwa mtazamo japo songa mbele kutafuta maisha,mwanasiasa yoyote hupanga maneno ikiwa ni sehemu ya ajila yake kusaka ridhiki ya familia yake kama vile sisi wengine tuamkapo asbh kwenda huku na kule kupigania maisha.
 
Wakati umefika Taifa lionekane lina watu wenye kufikiri na kuona mbele kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.Ukawa mwendo mdundo.
 
Jipangeni kutukomboa kwenye maji.elimu na afya.tumepigika watz.
 
Back
Top Bottom