Ndugu watanzania tulimuona kikwete wa CCM mwaka 2005 hata alifikia hatua ya kusema anawafahamu wala Rushwa wakubwa wa nchi hii na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya,na ataleta maisha bora kwa kila mtanzania kwa nguvu,ari na kasi mpya,kila mmoja wetu ajiulize nini kimetokea na kinaendelea ktk Taifa letu,Tumeshuhudia Bungeni wabunge wa CCM wakipitisha sheria kandamizi kwa wananchi na si kutunga sheria huku kila kitu wanasema ndiyo hata kinachokwenda kuuwa wananchi.NARUDIA TENA WATANZANIA TUSIRUDIE MAKOSA YA NYUMA.TUTAONEKANA MBUZI KAMILI KABISA.CHAGUA UKAWA kwa Ukombozi wa nchi hii.