UKAWA waingia MITINI Hapa

Hata Obama hashiki mamic yote hayo. Hilo si la kujivuni ni matokeo ya teknoljia duni iliyosababishwa na CCM
 
Leo jamaa wako ganzi sijui kwanini
 
Kuna watu ni wehu sana hapa nchini..... Badala mnadi sera zenu mnakuja na uji.nga tu
 
umechoka sana wewe.Kwa hiyo mtu akishika mike tatu anakuwa rais mzuri.
You are tired mentally
 
umechoka sana wewe.Kwa hiyo mtu akishika mike tatu anakuwa rais mzuri.
You are tired mentally
Kama wewe ni kichwa cha panzi ni rahisi kujibu kama ulivyoosema. Lkn anachomaanisha mtoa mada ni kile ambacho kimekuwa kikitajwa Mara kwa Mara "afya ya mgombea"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…