Nafikiri tangia utoto mpaka leo huwa unalishwa bure bila kufanya kazi yoyote!!!
Jenga hoja ndugu jf ni jukwaa na great thinkers.......kama huna hoja kaa pembeni
Nafikiri tangia utoto mpaka leo huwa unalishwa bure bila kufanya kazi yoyote!!!
juzi chadema kupitia mwanasheria wao tundu lisu kawatukana viongozi wa dini halafu bado anaongea bangi zake tena.
naona lumumba aka buku saba wameuchangamkia huu uzi
Kwani bungeni wanajadili rasmu ngapi? Hao wanaotaka 2 nao ni maoni yao cha msingi wakashawishiane kwa hoja atakayeonekana hoja zake za msingi basi waridhiane
naona lumumba aka buku saba wameuchangamkia huu uzi
kwanza msiporudi huenda tukapata katiba nzuri isiyo na mawazo ya viroba na gongo.safi sana , bila serikali 3 hakuna kurudi .
Acha ushabiki kwenye ukweli tuseme ukweli ndugu,mie sioni haja ya wao kutokeenda bungeni ,cha msingi waende wakajadili sisi wananchi tutaona hoja zipi zinamashiko lkn sio kupiga kelele
ukawa ni majuha kweli hawana la maana hoja za kitoto zote wanazotoa.
kweli kabisa, wanaogopa nini hao UKAWA?
Tanzania kuna mwananchi anayeweza kupiga Kura kwa uelewa wake mfano kama wewe jitu zima unajificha kwenye shamba la karanga wakati ukweli unaelewa kisa umehaidiwa na ukuu Wa wilaya na nape, kuna tume huru ya uchaguzi wakati ni tume ya ccm wasimamizi Wa chaguzi ni waajiriwa Wa ccm,chukulia mtu kama wewe ndio uwe msimamizi Wa uchaguzi ulivyo na roho mbaya na ya warioba si utapitisha ya ccm tupu ! Hakuna viongozi Wa dini hao ni waganga njaa wapenda pilau ya akina pinda na lowassa waoga tena wakuda!
Acha ushabiki kwenye ukweli tuseme ukweli ndugu,mie sioni haja ya wao kutokeenda bungeni ,cha msingi waende wakajadili sisi wananchi tutaona hoja zipi zinamashiko lkn sio kupiga kelele
Tangu siku zote nasema hawa ukawa wamevurugwa kwa kiasi kikubwa sana sijui kama wanajitambua kwa haya wanayofanya hawa wanaoitwa ukawa.
Kama Nyerere alikuwa mtu muhimu sana iweje mtupilie mbali azimio la arusha ungali hai!! Ni unafiki tu huna lolote!!
Sio wote wanaochangia humu ndani ni vijana wa lumumba wengine ni wananchi wa kawaida
Huo ni unafiki wenye mkia, hivi unaposema wakajadili unajua mfumo wa majadiliano uliopo kwenye BMK?unajua maamuzi yanatolewa kwa mfumo gani? Na wanapojadiliana wanajadili nini?hujui kama ukiibadilisha hiyo mliyoiita moyo wa katiba ambao unazungumzia muundo wa muungano bunge litakuwa halina cha kujadili tena?hujui mtiririko wa ibara zingine unategemea ibara ya 6?sasa watajadili nini kama sio kuandaa rasmu upya?huoni kama mnataka tuendelee kupoteza fedha za walipa kodi bure pasipo na mjadala wenye tija?
Eti ukawa warudi wakajadili wakajidili nini? JK kwanza autangazie umma wa watanzania kwamba BMK likirejea wakajadili rasmi iliyopendekezwa na tume ya Jk ikiongozwa na Jaji Warioba na si vinginevyo.
Maintarahamwe mna bore sana