UKAWA wagawana majimbo 211

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,639
Reaction score
164,785
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), wamegawana jumla ya majimbo 211 huku wakishindwa kuelewana katika kugawana majimbo mengine 28.

Pia,jimbo la Zitto limebaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

My take:
This is a significant breakthrough in achieving political changes in our country.
=======================

Chanzo:Mtanzania
 
Unaweza kututajia/kutuandikia hayo majimbo 28 ambayo ni kizungumkuti ili pengine wadau wengine wasaidie kuona nani anafaa zaidi.
 
Je mtanzania wameandika hayo majimbo 211 ni yap na hayo 28 ni yap ili watu wapime?
 
Unaweza kututajia/kutuandikia hayo majimbo 28 ambayo ni kizungumkuti ili pengine wadau wengine wasaidie kuona nani anafaa zaidi.
Sijapata gazeti husika ila hii habari imesomwa katika kipindi cha magazeti cha Channel 10.
 
u mean scramble and pertition of 1884/85 is back?
 
Wamekaa makao makuu na kugawana au wameshirikisha wa majimboni?
Bado wanaweka Urais kiporo manake hapo napo kuna kizungumkuti: Prof. Lipumba ameishasema hagombei ubunge popote kwa maana yake ni kwamba atagombea Urais.
 
Lipumba hawezi pewa ng'oo hapo ni slaa tu na vinginevyo utavunjika juo ukawa.
 
Hayo majimbo wamegawana kwa ubunge tu?au na chaguzi ndogo pia?maana kuna mikoa mingine ina multiple choices kisiasa,yaani mtaa huu cuf,mtaa huu chadema mwingine nccr nk,hapo watagawana majimbo (as whole?) Au itabidi wagawane na mitaa?
 
Kwanza kabisa ccm wajiandae kisaikolojia
pili wafanye chini juu wahakikishe wanaelewana ili ccm iwekwe kapuni kwa ushenzi walioifanyia nchi hii sana sana kwenye issue ya katiba
 
Wameshaanza kutoaminiana, huu muungano ni wa mashaka na kijanjajanja sana
 
Attachments

  • 1426750383212.jpg
    63.4 KB · Views: 1,051
  • 1426750399069.jpg
    68 KB · Views: 948
Reactions: PPM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…