UKAWA wafanye kazi ya ziada Tanga

UKAWA wafanye kazi ya ziada Tanga

Wanajamvi mimi nipo hapa Tanga mjini lakini bado watu wanakariri sisiemu. Hii inaonesha jins gani watu wa hapa walivyolewa na ujinga wa kutoelewa kinachoendelea.

Mytake: UKAWA wafanye jitihada za kuweka mawakala wa uhakika katika kila kituo kwasababu nilipata kuuliza baadhi ya watu wa cuf wakaniambia tatizo kubwa baadhi ya vituo walikuwa hawaweki mawakala kabisaaa. Na uzembe wa kutokuwa makini katika usimamizi huo.

Dogo acha upunguani kuwaita watu na akili zao kuwa wajinga, hebu kuwa na adabu! hako ka-certificate kako kwa ualimu IIIA kasikupe ujeuri! unafikiri watu ni wajinga??? wanajua wanachokifanya, vyama vyenye milengo ya kidini na kikabila kwetu ni big NO, hata mfanyeje hatutakuwa sehemu ya dhambi hiyo!
 
Dogo acha upunguani kuwaita watu na akili zao kuwa wajinga, hebu kuwa na adabu! hako ka-certificate kako kwa ualimu IIIA kasikupe ujeuri! unafikiri watu ni wajinga??? wanajua wanachokifanya, vyama vyenye milengo ya kidini na kikabila kwetu ni big NO, hata mfanyeje hatutakuwa sehemu ya dhambi hiyo!


Hahahaha kama hayo yako ndo mawazo ya mtu mwenye degree basi unawalakin itakuwa ni ile kukopy na kupest.

Ila mkuu hayo ni mawazo yangu tuu. Na nimesema ujinga kwasabbu watu hawajielewi. Mfano mdogo siku ya kalembo , watu watanga wanafanya kazi ya manispaa , wakati wanalipishwa kodi kila uchao na kushurutishwa kufunga biashara zao mpk sa 3 asubuhi , hili nalo lataka elimu ya chuo.
 
mwache mtu afanye anachotaka hiyo ndiyo itakuwa demokrasia ya kweli sio kumlazimisha awe chama fulani na asipokuwa huko ndo umwite mjinga hapa nadhani mleta uzi una........
 
Wewe ni mpumbavu huwezi kusema Watu wa tanga ni wajinga kisa HAWAPENDI UKAWA, KICHAA MMOJA WEYE
 
Yeyote anae ipenda ccm kama sio mnufaika wa mfumo basi ni mchawi kama sio yeye basi bibi yake....
 
Yeyote anae ipenda ccm kama sio mnufaika wa mfumo basi ni mchawi kama sio yeye basi bibi yake....
Siyo kweli. Wengine wana integrity na principles tu zinazowaongoza katika maisha yao na kamwe hawapendi kuburuzwa na hisia wala mihemko. Wapo wengi tu nawajua walipenda sana UKAWA ya Dr. Slaa lakini siyo hii mpya iliyotekwa. Mimi nadhani ni haki yao na hakuna sababu ya kuwatukana, kuwabeza wala kuwasimanga. Ndo demokrasia ati!
 
no bwn watu wa tanga c wajinga, ila wameleweshwa na ujinga! wa kutoona mbele, hv ukileweshwa, na pombe ww ni pombe?
 
Wazuri sana kulalamika viwanda bandari mkonge umekufa ilhali njiia ya kutoa malalmiko wanaiona ila hawaichagui ni shida kweli kweli.
 
unavyowashangaa na kuwaona wajinga na wao pia wanakushangaa na kukuona mjinga kwasababu ulitakiwa uwaambie mazur ya hicho unachokiona wewe ni kizuri na sio kuwaona hawajitambui. Hili la watu kushiriki usafi wa mji wao nalo unaona ni ujinga na kutojielewa? kuna dhambi wananchi kuchangia maendeleo ya eneo lao kisa tu wanalipa kodi? ukifika moshi ambako kuna chadema wengi bado wananchi wamekuwa walinz wa maeneo yao na wao pia wanalipa kodi sasa wangesema wawachie manispaa kulinda usafi wao sijui ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom