UKAWA waendelea KUDODA

Hiyo ni Tanga asubuhi saa kumi na mbili 12; 30 asubuhi.


swissme
 
..mi nimekupenda hapo tu! kumbe ukweli unaujua ila umeng'ang'ania tu!

..wakati ule na sasa hamna tafauti! fyi!

Kujifariji husaidia kutopatwa na Ugonjwa wa Akili! Angalia Channel 10, na Itv habari
 
Mr chin u got to b the dumbest person to ever be born#nolie. How much are they paying u
 
JF inashuka hadhi as days goes on kwa sababu ya mabandiko feki kama haya
 
Ushapeta mkuu subiri kuapishwa huna mpinzani ikulu inakusubiri magufuli,wapinzan wataisoma numba mwaka huuu
 
Yaani mpaka mnatia huruma aisee. Huyo anayewalipa kawafanya muonekane mazuzu kweli.
 
Washapoteza mwelekeo ukawa si kitu tena kwa watanzania amebaki magufuli peke ake katika dira ya siasa na atashinda kwa kishindo kikubwa sana


 
Utakuwa unakaribia ku-pi z*i naona sasa ile raha unajisahau unakuja kuandika uji,, nga uku
 
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao.
 

hahaha jipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ