UKAWA wachanganyikiwa!

Hivi unavyo hangaika kupost/kuanzisha uzi (cheap threads) kila baada ya dakika tatu unadhani UKAWA wamechanganyikiwa?

Hata mimi naona kweli UKAWA "wamechanganyikiwa".
 
Uloi nga mâché68;14022084 said:
UKAWA ingekuwepo Vijijini na Vitongojini isingeambulia 20% Uchaguzi wa Serikali za Mitaa miezi 10 iliyopita! KIMEBADILIKA NINI SASA?
Wandugu hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA. Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama.??? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe. Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini. Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.
 
Mtoa mada anaakili ndogo sana, amesahau kua hili ni janvi la greatest thinkers, kamwe akili ndogo haiwezi kutawala akil kubwa and this is principles, pole bali hoja yako ni kinyume chake
 
Hotuba ya JK kule ZNZ juzi juzi kwamba uchaguzi mwaka huu ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine maana ni mgumu kweli hivyo kazi kubwa ya shuka kwa shuka inatakiwa kwa wana CCM wote. Kilio hicho cha mtu mzima kinaashiria nini kama siyo dalili za kushindwa??????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ccm ndo wamechanganyikiwa mila wanachofanya ukawa wao wanaiga, mfano m4c,Leo wanaita magufur for change, yan ccm wamepoteana
 
Kauli zingine zinaifanya ccm ionekane kama chama cha upinzani!nawashauri akina Makamba,Nape,Mwigulu na Makonda wakae pembeni wazee wenyewe waje front angalau wana busara wataeleweka!
 

Mbona husemi ukweli pita huko vijijini kuna mwamko kuliko mjini maana wamepigika kweli na hao ndio wanajua nini maana ya umaskini
 
Thibitisha jinsi CCM itakavyoshonda.Yaani mimi nasema CCM mwaka huu haiwezi kushinda hata kwa dawa! Kumbuka Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana no tofauti kabisa na huu.
 
Wamechanganyikiwa kwekikweli,

Tunasubiri mdahalo wa wagombea wa uraisi
 

Attachments

  • 1442498122147.jpg
    57.1 KB · Views: 147

ndomaana huwa na sema kila siku Ukawa msitusimee neno watanzania ntangu lini umewekwa kuwa msemaji wa watanzania?? nyie semeni hivyi sisi mashabiki wa ukawa tumeamua... siyo watanzania, mimi pia ni mtanzania ila ukawa hawawezi kutuuzia mbuzi kwenywe gunia rais hata kupanda ndege tu ni shida acha gari. wanaojielewa wote kura kwa Magufuli. huko wamebaki mashabiki tu.

''HAPA KAZI TU''
 
Mtoa mada anaakili ndogo sana, amesahau kua hili ni janvi la greatest thinkers, kamwe akili ndogo haiwezi kutawala akil kubwa and this is principles, pole bali hoja yako ni kinyume chake

Hao Great Thinkers ndo kama wewe? ASilimia kubwa JF ni chaka la wanaodhani ni vichwa kumbe vilaza!
Assume your position now!
 
Yani huyu vampire mleta mada kajichanganya et hawaelewi watashindaje!tutashinda kwa kura halali za wananchi,kumbe kuna namna za kushinda?patachimbika oct 25 ikionekana kuna mbinu mbaya. "SEMA HAPANA KWA CCM OCT 25"
 

Kachanganyikiwa babako..mwaka huu lazima mnye moto mtajamba Cheche..jipange bwabwa we akili zako ziko kwenye makalio yako..
 

waache waendelee kutupa burudani ya chopa wanangu walikuwa hawajawahi kuona chopa!
 

Hivi wakisema wenye kazi na ww utatoka mbele...kajambe mbele huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…