Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Nawakumbusha viongozi wa UKAWA na wapenda mabadiliko wote kutoa elimu ya upigaji kura.
Nimegundua watu wengi wataharibu kura kwa kutojua kuwa,kuweka tiki upande w unaetaka kumchagua ndiyo sahihi na si kuweka alama ya mkasi au X kwa mtu usiyemtaka.
Jambo hili ni muhimu sana na hada ukizingatia kuwa;wapiga kura wengi sana ni wapya mwaka huu,wapo wanaosema wataweka tiki na mkasi,na wapo wanaosema wataweka ipande wa mkasi kumaanisha kumkataa mgombea wa CCM.
Wengi hawajui kuwa kufanya hivyo kutaharibu kura,shime ELIMU ITOLEWE tuwakabe koo hadi watoe chakula makalioni