UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo CHADEMA imeshinda, Dr. Slaa amesema "1. Nkasi - Namanyere 2. Hai - Bomang'ombe. 3.Karatu - Karatu. 4. Arumeru Mashariki - Usa river. 5.Vunjo - Ukawa. 6. Mbeya vijijini - Mbalizi. 7. Mbozi Maghari - Tunduma. 8. Mbozi Mashariki - Mlowo. 9. Kyela - Kyela. 10. Lupa - Makongorosi. 11. Busanda - Katoro. 12. Geita - Geita. 13. Chato - Chato. 14. Kwimba - Ngudu. 15. Karagwe - Kayanga. 16. Bukombe - Ushirombo. 17. Sengerema - Sengerema. 18. Tarime - Tarime. 19. Tarime - Sirari mji mdogo. 20. Rorya - Shirati ( 7/2). 21. Bunda - Bunda. 22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3). 23. Kahama - Kahama. 24. Bariadi - Bariadi ( 49/43). 25. Kilombero - Ifakara. 26. Magu - Magu. 27. Mbozi - Vwawa. Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani."
 
Mkuu kanuni zinabana sana hapa jf. Hustahili hata kukosolewa kistaarabu! Hivi kule facebook unatumia id gani au umeweka huu upuuzi kwenye group gan nkufuate huko huko!

Huyu mtoa mada ameletasiasa za 1995 nilikua temeke enzi hizo kulikuwa na wanasiasa wa ajabu sana kina cheyo kina sisko mtiro na jamaa mmoja maneno mengi kutoka cuf akasajiliwa na ccm katibu mwenezi alikuwa anachekesha sana. Naona jamaa anatuonesha slow motion ya 1995
 
wamekutoa lini mirembe mkuu bado hujapona ukichaa wako.
 
Ha ha ha ha we ni mwandani wa Tegeta escrow account?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…