UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

Kweni alichosema na yy si ndiyo mtazamo wake,kweni ww kuwaamini aliyewasema umeingia mioyoni mwao ukajua wanawaza nini wakichukua nchi?hakuna aneyeweza kujiaminisha kwa mwanasiasa kua atafanya hiki na kile bwana
Ndiyo nini hicho ulichoandika? Jaribu kuuficha upumbavu wako.
 
Ndiyo nini hicho ulichoandika? Jaribu kuuficha upumbavu wako.

Jitukane kwanza kabla hujamtukana mwingine...una nini wewe mpaka unitukane?fikla zako unaziona ndo ziko sahihi?umepotea
 
Mkuu si ungetoa japo mawazo yako ndio uende?

Pamoja na ukada wake wa CCM, Ritz ameogopa kuunga mkono hoja hewa ya kada mwenzake! Ndiyo maana ameamua kupita kimya kimya apime upepo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio matokeo ya '' kukaa na kutafakari sana''...?!
 
Wazee wa ESCROW wanahangaika wezi majambazi wakubwa nyie
 
Kama la Zitto halikuiyumbisha CHADEMA na mpaka anataka arudi, hakuna kitakacho rudisha nyuma nguvu hii ya umma. Umma umeshang'amua, mtakuja na propaganda kibao za kutunga ila nguvu ya Mungu haizuiwi kwa nguvu ya shetani. Poleni, kaje na lingine.

Unajua kuwa ACT ni chama pekee kipya cha upinzani ambacho ndani ya miezi saba tu kimepata vitongoji na vijiji kibao.
 

Nachelea kusema, "hakuna umaskini mkubwa kwa binadamu kama umasikini wa fikra." Hivi ni taifa gani hapa duniani linaloishi lenyewe bila mahusiano na mataifa mengine. Je ni chama gani cha kisiasa hapa duniani kisichokuwa na mahusiano na chama kingine ndani na nje ya nchi?

Jamani zama za kuwadanganya watanzania zishapitwa na wakati. Ujinga ni mtaji mkubwa sana kwenu CCM. Hilo kwa sasa lina nafasi ndogo sana katika uwanja wa siasa.

Je, unataka nchi hii iuzwe mara ya pili? Madini yetu leo yanamfaidisha nani? Mazao ya misitu na wanyama pori wanamfaidisha nani? Hili nalo kwa leo linaitaji darubini ya ajabu kulijua?

Je, wezi na wahujumu uchumi wapo kwenye vyama vya upinzani au chama tawala? Hujui hata muundo wa serikali unayoitete!

Katiba pendekezwa ambayo ndiyo dira na mwongozo kati watawala na watawaliwa mmeifinyanga kwa manufaa ya nani? Kiongozi gani asiyewajibishwa atakapo hujumu nchi yake? Huo nao wauona uongozi bora?

Haya yote kwa kiasi kikubwa kwa watanzania tunayajua na tunayaona. Ukimya wetu si ujinga. Utulivu wetu siyo hashirio la usalama na kwamba yote ni AMANI tu. Ukimya huu unajambo zito.

Hakuna binadamu yeyote aliyetokea katika sayari hii aliyevumilia yote kwa nyakati zote. Maji yenye utulivu yana kina kirefu. Litakapo tokea jambo lolote kama ishara ya kuchoka udhalimu huu, mzimo wake utakuwa mzito.

Ukiona Baba wa familia anafurahia kula na kujisaidia kwa jirani yake ujue huyo Mzazi haitakii mema familia yake. Ukiona mzee wa familia anajisifia kitambi alicho nacho kwa sababu eti anakula kwa jirani, ujue kifuatacho katika familia yake ni janga zito. Je, na hili linaitaji ufahamu wa pekee kujua tunapowatazama watawala wetu leo Tanzania?

Mwisho nikupe ushauri: Tanzania ya leo imebadilika sana. Jenga hoja kabla na kusema chochote. Bla bla za kimfumo na kiitikadi kichama hazina mashiko leo. Hadithi za kufikirika za "tuta..." zishazoelema. "You can't teach an old dog new tricks." Chama tawala mmechoka na kuchokwa. Hakuna jipya tena.
 
Yamekuwa hayo tena, Si mlisema kuwa UKAWA wamewarahisishia kuwaua kwa kutumia risasi moja inamaana kuwa risasi yenu moja imeshindwa kuwaua UKAWA mpaka mmenza kuleta longolongo zenu?.
 
 

Wacheni upuuzi wenu wache ibaki chadema awe mpizani na ccm awe madarakani msilete ujinga wenu wakutaka kuchezea amani tulopewa na Mwenyezi Mungu..Wewe sijui Ukawa sijui Cuf na hao wahuni wezenu na huyo kibaraka wenu Mengi
 

Upo ushahidi wa kutosha ndg zako kule kijijini wamezoea mlo mmoja kwa siku ni rasilimali gani hizo unazozisemea?inaonekana umesahau kama serikali yako ya ccm isha uza aridhi kwa watoto wa wafalme?nimesahau kukuuliza hivi umetumwa na nani?
 

Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society
 
...kiroba cha leo kikali kweli...yaelekea kimetengenezwa na #seth_sigh /VIJANA TUACHE KUNYWA VIROBA MCHANA TUFANYE KAZI,TUSOME KWA BIDII ILI TUWEZE KUWA NA AKILI PANA ZAIDI,viroba husababisha akili na mawazo mgando kwa hasa kwa jamii ya vijana,wenzetu kenya wamevipiga marufuku baada ya kugundua madhara yake kwa jamii/MTU AKIFANIKIWA KUKUWEKEA KIDHIBITI FIKRA,mean AMEKUMALIZA same to <CORPSE>
 
Unadalili ya Tezi dume wahi hospitali ukapimwe wewe
 
hahahaah!!! hujastukia ziara za rais nje? mataifa yote aendayo yana interest na tanzania, hujastuka bado?
 

Join Date : 8th January 2014
Posts : 6
Rep Power : 351
Likes Received1
Likes Given0
[h=2]
UKAWA tumestuka msitake kutuburuza[/h]
 
Jadili hoja za ukawa acha kujadili watu ktk ukawa tukuone wa maana, hayo uliyoandika ni safari tu za ukawa katka kuleta mapinduzi na sio hoja zao,, usijidhalilishe,,,
 
Hapana mwigulu kakua siku hizi, mambo ya kitoto hayo hana.

MWIGULU YUPI AMEKUWA? huyu gaidi au yupi kama ni gaidi hawezi kukua alichofanya ni kutumia ID zake zinazokaribia 100 ndizo anazotumia kuandika ule ujinga wake, mwigulu mpaka akatubu SPWETO kwanza
 
Kama mtaondoka madarakani in a smooth way hakuna cha Libya ila mking'ang'ania ndiyo hayo yanatokea, kwa sasa taka usitake ni UKAWA habari ya mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…