Mkuu hizi propoganda mmeshachalewa....tuliwasikiliza sana..lakini baadaye tukagundua sisi ndo wajinga.....I say...hatudanganyiki tena!
Karibu tena ndugu.Tarudi baadae ndugu zanguni.
Tarudi baadae ndugu zanguni.
Acha kutuonyesha ujinga wako . Dunia ya leo wewe ni takataka ktkt ya madampo ya Spenko Vingunguti, na Pugu kinyamwezi. Eti umekaa name kutafakari , kwa akili ipi ya kuweza kufanya tafakuri? Wakati mwingine jitahidini kujua nini uwezo wenu kabla ya kujianika kwenye jamii.
Ukawa majanga kweli watupishe hatuna mpango nao kabisa.
nimekaa na kutafakari sana eti mnaitaka Nchi...tena mmeenda mbali kwenda kuomba support kwenye mataifa makubwa.........In return mnataka kuwapa nini........Mkishapata hii nchi Muanze kugawana kila mtu afidie kile alichopoteza katika harakati za kuichukua Tanzania tulivu....
Mnataka kutuletea ya Libya...Mje mtufanye tuishi kwa Mashaka....Upo ushahidi wa Makubaliano Mliyoweka na Mataifa yanayotolea macho Rasilimali za Watanzania...To hell I was In support of u but after noticing this nikawafikiria ndugu zangu kue kijijini wanaotegemea Rasilimali za TZ kwenye maisha yao ya kila siku I SAID NO THANK YOU UKAWA.....
sikuelewa mantiki yenu ya kutka Serikali 3....kumbe ilikuwa ni kuuondoa umoja wa WATZ ili mfanikishe hili...kwa Urahissi.
Soon nitaapload Mzigo hapa tuone Mkakati wenu wakuiuza hii nchi.

Mizigo sio mawaziri tu! Hata GT wengine ni mizigo kwelikweli!nimekaa na kutafakari sana eti mnaitaka Nchi...tena mmeenda mbali kwenda kuomba support kwenye mataifa makubwa.........In return mnataka kuwapa nini........Mkishapata hii nchi Muanze kugawana kila mtu afidie kile alichopoteza katika harakati za kuichukua Tanzania tulivu....