Itilima huyu namba mbili kweli ametumia pesa za tajiri anayegombea kupitia CCM na akahonga juu ili jina lake lirudishwe wakati alikiwa namba mbili...ama kweli Chadema hapa mlichemka, jimbo mnataka kuliachia wakati lilikuwa wazi baada ya Cheyo kumwachia Makondo? Nadhani sana mtafanya kweli baada ya CUF kuamua kumchukua mgombe huyo...na EL kawatahadhalisha chukueni mmoja anayekubalika mshinde siyo urais tu bali wabunge na madiwani