sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Maneno ya wahenga kwa kweli ni busara tosha,hivi Ukawa ujasiri wa kunyoosha vidole kwamba oooh kuna kibanzi kule,kwani hawaoni boriti ndani ya jicho lao kweli?ama naomba kusaidiwa ni nguvu ipi iliyowanyamazisha kuhusu kelele zidi ya aliyekuwa hasimu wao na sasa ni mgombea wao,na kwambia ukawa ukiwa na hela kuliko lowassa ukaingia sasa unaweza kuwa mgombea urais,maana kwao hapendwi mtu ila pochi.swali ambalo naomba wenzangu wa ukawa wajibu bila jazba wala majibu ya mkato,hivi ni nini kilichowafanya giza kuita nuru na nuru kuita giza,naomba jibu lenye vigezo maana watanzania si washaulifu kiasi hicho kauli zenu za.jana dhidi ya lowassa