huyu makene hopeless kabisa. I wonder what are they doing. Kama vijukumu vidogo kama hivyo vinawashinda then mabadiliko tunayoyahubiri ni yepi?
sasa hao alotoka nao ccm si wafanye mambo?nasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination
incompetence zingine zinafanya mtu uone aibu kuwa mfuasi wa ukawa. au kuna hujuma? Lowassa na duni hawana wapiga picha wataalamu?.huyu makene hopeless kabisa. I wonder what are they doing. Kama vijukumu vidogo kama hivyo vinawashinda then mabadiliko tunayoyahubiri ni yepi?
nasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination
Hata mimi nimesikia kutoka mama yako ambaye jana alikuwa chumbani kwa lowassanasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination
Mimi nilijua humu ntakuwa nakutana na mapicha ya Njombe na Iringa yakiwa na quality nzuri na kupigwa toka angle nzuri. Cha ajabu nakuta picha za tecno zenye gizagiza.
Hivi hamna wapiga picha professional?. Pia kitengo chenu cha kampeni mitandaoni either ni incompetent au kinawahujumu. Pengine hamna kabisa!