Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Sisi baadhi ya wananchi tunaowasikili Wana UKAWA, tumefuatilia sana maelezo yenu na kuungana na nyinyi katika harakati zote. Tumekuja kuona kuwa umaskini wa Watanzania sio sababu za Muundo wa Muungano bali sababu kuu ni mganwanyo mbaya wa raslimali za taifa unaotokana na wale walioaminiwa katika nyadhifa mbalimbali kutumia vibaya raslimali za nchi hii.
Naombeni mkajadili mambo mengine yoooote na ikifika suala la Muungano muwaachie wananchi. Kajadilini sura za msingi, zikuhusiana na raslimali, afya, ardhi, elimu na mambo mengine muhimu ili taifa lisonge mbele. Nawaombeni sana rudini tujenge nchi kwa kuvumuliana. Njooni mkomae kwenye maeneo mengine.
Naomba tuanze kuorodhesha chanzo cha Umaskini wa Watanzania kisha tuone Muundo wa Muungano utashika nafasi yangapi? Ikiwa twailaumu serikali iliyopo kwa kuwa ngumu kusikia sauti za wananchi, basi onesheni mfano nyie kwa kutusikiliza wananchi , rudini mjadili maisha yetu mengine.
SABABU AU VYANZO VYA UMASKINI WA WATANZANIA
1.
2.
3.
4.
5
7
8
9
10
11
12
nk