Ukawa sio chama bali huwakilisha cuf,cdm,nld & nccr

amino acid

Senior Member
Feb 9, 2015
100
12
Wapenda transformation
Kila mpenda mageuzi nchini ahamasishe wananchi kwenda kupiga kura 25/10/2015 na ahakikishe anatoa elimu ya mpiga kura kwa nafasi ya uraisi tunamchagua EL,ubunge chagua mgombea aliyepitishwa kuwakiliosha washirika na udiwani hivyo hivyo.
Wapiga kura wajulishwe kuwa hakuna chama kinachoitwa UKAWA.

Shuhudieni hii tafiti ya kisanii ya TWAWEZA.
 
hatuchagui wanywa viroba na akina mangimeza
 
Twaweza waongo sana, hivi mwananchi atajuaje kuna ukawa halafu asielewe maana yake. Kufahamu tu ukawa ni hatua tosha. Labda ambaye hata haifahamu kabisa ndio anaweza uliza ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom