UKAWA sasa IKAWA?

Pasco,hivi CV ya mwanakijiji nitaipata wapi?? mimi nijuavyo ni mtunzi wa riwaya-isije ikawa tunamlaumu bure
 
Last edited by a moderator:

1. Ukiogopa kwamba ukizaa mtoto atakufa hutakaa uzae.
2. Ukidhani ukinunua gari litapata ajali hutanunua.
3. Ukifikiria kuwa ukifanya mtihani utafeli utaogopa kufanya mitihani.
4. Mama akifikiria kuwa akipata ujauzito atapata uchungu wakati wa kujifungua hataweza kuzaa.

Matatizo yanayojitokeza kwenye Ukawa ni changamoto zinazoendana na mabadiliko tunayotaka. Changamoto hizi zinasaidia kujua mambo ambayo yalikuwa hayajawahi kuwa tatizo na hivyo kutafuta namna ya kuyakabili. Tukiogopa matatizo ina maana tunataka tuendelee na matatizo yaliyokwishazoelezeka ya kukosa huduma bora za jamii na kujiletea maendeleo ya watu na vitu licha ya kwamba tuna uwezo wa kufanya hivyo. Those problems may be stepping stones to strengthen rather than weaken Ukawa. "Evil is the shadow of good."
 
Ukawa ni genge na lipo hapo kwa ubabe wa Mbowe na Lowassa.!

Mkuu, Mh.Lowassa ameigizwa hapo na akina Mbowe na Mbatia hasa hasa shinikizo la Mbatia ndio maana yupo mstari wa mbele wa kutaka kumsemea Mh.Lowassa kwenye masuala ya midahalo eti Mh.Lowassa yupo matawi ya juu hawezi kuhojiwa kwenye midahalo!!! Lame excuses kabisa, wananchi walio wengi hawajui agenda za siri za genge hili hatarishi - wana kwenda mbali Zaidi na kutamka bila wasi wasi eti JK akubali kukabidhi Taifa kwa genge lao!! - Wana uhakika gani kama watashinda kiti cha Urais come October? Je wanayasema haya wakiwa na lengo gani nhasa?

Wamejipanga vizuri kuchezea akili za wananchi, wanajaribu kuwa - tune wananchi kisaikolojia ili mambo yakiwaendea vibaya basi wananchi wachachamae na kuleta labsha baada ya uchaguzi, jamaa hawa hawalitakii mema Taifa letu, tusipokuwa makini tutaishia pabaya, mimi sina tatizo na vyama vya upinzani vyenye credibility ya Uongozi wa juu - tangu aondoke Mh.Slaa na wenzake credibility ya CHADEMA ni mfilisi kabisa - wanajiandaa ku instigate vurumai tu, time ya ku-deal na mbinu zao za ki-COWBOY is now, not later.
 
Hata Sumaye ambaye ni Zero anafahamu hawana uwezo wa kuendesha serikali.

Eti Sumaye ndiye ameenda kuwafundisha jinsi ya kuendesha serikali. My left foot.

Baadhi ya Viongozi wakuu wa NCCR-Mageuzi wameanza kuelewa kama wameuvaa mkenge.

Mbowe na Mbatia wamewachuuza na kwa sasa wanataka kuwauzia watanzania wengi mbuzi kwenye gunia.

Mgombea wake wa Urais kila siku anaendelea kudhoofu kiafya na kifikra.
 

Kweli dada lakini,ungetumia kichwa kufikiri kidogo,make usichokitaka wenzako kinatubudisha nafsi.Halafu usiyemwitaji anakuchukuliaje muda wako?Kaa ufikiri!
 
kama kawaida badala ya kujadili mada mnajadili mtu picha waliyotoa jana viongozi wa nccr ndio picha halisi baada ya uchaguzi huu ulikuwa muungano wa viongozi wa juu wa vyama kama chadema wangefata demokrasia wangeanza mchakato wa kumpokea lowasa kwenye vikao vya chini badala yake wanakaa watu wachache wanafanya maamuzi makubwa na kuyaita ya chama mkiambiwa ukweli oh wewe umenunuliwa lakini ukweli mnafata mkumbo hamjui hata siasa inaendaje
 

kwa sisi watu wa kawaida, ukawa bado ni ukawa... haijawa, ikiwa tutasema ilikua
Mzee Mwanakijiji sasa nimeamini shida sio unaanzaje bali unamalizaje

hata marathoni, mshindi ni amalizaye na si aanzaye... umetumikia sana kakitengo kako ukidhani ndio mwanzo na mwisho wa intelligence (hapa nazungumzia personal na sio kitengo chako cha kidini)

Ulijidharaulisha ulioanzisha CCJ kifala-----

Na sasa watu wataamini kwanini tumekudharau

Angali you kids, maana hawatakiwi kujua kwamba baba yao ni traitor
 
Last edited by a moderator:

Mzee Tupatupa,

Ukawa kwa sasa, ikiwa watashinda uchaguzi, njia ya mabadiliko itaongozwa na Lowassa.

Ni Lowassa huyu huyu uloyetwambia kuwa si lolote si chochote.

Hana ubavu wa kuongoza nchi na lazima atakatwa na CCM.
Kwake sio tu hana msamiati wa kushindwa, bali ana historia mdefu ya kushindwa vile vile.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=13109898

Je ni nini kimekubadili katika miezi michache tu? Kwa nini umezisaliti fikra zako??
Lowassa kabadilika nini?
 
Last edited by a moderator:

Hapo usitegemee jibu la maana ni matusi tu! Wasaliti ni hao waliobadili mtazamo na misingi tuliyoiweka na kumkumbatia kinara wa ufisadi aliyechangiwa na wafanyabiashara wachafu na kupata pesa zisizoeleweka nje na ndani ya nchi! Wasaliti ni wale waliohubiri miaka 8 kuwa Lowassa ni fisadi na hafai lakini leo hii wanataka kutuaminisha kuwa ni malaika na eti Mkombozi!!!
Shame on them! Na hatuwaachi, tutaendelea kuwaumbua!
 

Ndugu zetu hawa hawatokupa majibu ya uhakika; wao wenyewe hawajioni kama wamebadilika. Wao wenyewe wanajiona kuwa bado "wanataka mabadiliko" hawajui kuwa tayari wamebadilishwa.
 

andika kitabu
 
wew unajua nini kwanza umeishia darasa la pili na unawazo gan au hoja ipi ya maana au nitaarabu unatuandikia ?hii ni nchi ya vyama vingi bana usiongee upumbavu wako kama vile ccm imetoka mbinguni chizii nin?

ila na ww utakuwa ufikirio wako ni mb 1 kikwete ni rais anaongoza maprofesa na masomi yote na yanamsujudu elimu sio kigezo unaweza kuwa na elimu halafu ukashindwa kuitumia kama ww
 
wew unajua nini kwanza umeishia darasa la pili na unawazo gan au hoja ipi ya maana au nitaarabu unatuandikia ?hii ni nchi ya vyama vingi bana usiongee upumbavu wako kama vile ccm imetoka mbinguni chizii nin?

halafu ulivo likenge wapo wap hapo nimeandika habar za u ccm tatizo mnakimbilia kupost mkiwa na njaa kula vizur lilux tafuta keybord halaf unajiita na ww umesoma wakat unakurupuka tu kima ww
 

Hajitambui kwa nini yuko hivi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa raha zetu ccm mbele kwa mbele.mtaisoma namba.huu ni wimbo ss umeshika chati na. moja.si mnajua malofa tunapenda.kucheza.Ukawa !!!!!!!? Mhhhhh.Mzee Duni mgombea mwenzaaaaaaaayu wapi? Sumaye ndiye mgombea mwenza ? Jina litawekwa lini kwenye fomu ya kupiga kura? UKAWA Mpo.?maskini mweeee.vyama muungano mpo? Mmeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…