Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
mkuu ww mgeni nn Tz? Kama mpaka leo wale walioiba hela za escrow kwa marumbesa hawajatajwa itakuwa kuiba kura washindwe?
Namimi Mkuu Nasema Hivi Kwenye Escrow Wakala Wa Upinzani Alikuwepo?Hakuwepo.Lakini Kwenye Uchaguzi Tar 25Oct Mawakala Wenu Watakuwepo Kama Wataiba Mawakala Wenu Watakuwa Pia Wameshiriki Kuwasaliti Na Kwenye Wizi Huo....