KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Radio calls muhimu
Akili za wanaukawa kama za nyumbu.
Akili za wanaukawa kama za nyumbu.
Radio Calls ni rahisi ku intercept. Muhimu wanunue Taa za solar kama shughuli itaendelea usiku. Nimesoma mahali inasema umeme ukikatika maboksi yote ya kura yanahamishiwa makao makuu ya mkoa kwenda kuhesabiwaNi wazi October 25 patakuwa na tatizo la simu kwa hivyo kama Ukawa hamjajipanga kwa radio calls sisi wapiga kura wenu hatutawaelewa kuhusu kuhusu kuhujumiwa. ..
Mia.
Akili za wanaukawa kama za nyumbu.
Radio Calls ni rahisi ku intercept. Muhimu wanunue Taa za solar kama shughuli itaendelea usiku. Nimesoma mahali inasema umeme ukikatika maboksi yote ya kura yanahamishiwa makao makuu ya mkoa kwenda kuhesabiwa
Mkuu Kunataa Maalumu Tayari Zimeshaandaliwa Katika Kituo Iwapo Umeme Ukikatika.Pili,kwenye Vituo Vikuu Vya Kufanya Majumuisho Kuna Majenereta Kila Kituo.Tatu,ukawa Niwaulize "kwanini Hamjiamini?"
Na akili za ccm kama za chooo.
Akili za wanaukawa kama za nyumbu.
Ni wazi October 25 patakuwa na tatizo la simu kwa hivyo kama Ukawa hamjajipanga kwa radio calls sisi wapiga kura wenu hatutawaelewa kuhusu kuhusu kuhujumiwa. ..
Mia.
mwenye akili za kuiba mali ya umma,kukumbatia rushwa,kutorosha wanyama,kuua tembo,kuuza madawa ya kulevya,kutokufanya maamuzi magumu watu wanapoifisadi nchi na NYUMBU nani ana akili.nimjuavyo nyumbu ni mstaarabu sana kuliko baadhi ya viongozi tulio wapa dhamana ya taifa hili wenye PHD za kimagumashi.Akili za wanaukawa kama za nyumbu.
Mkuu hatujiamini kwa sababu wale ni wezi.