Nimetafakari sana na kushindwa kuelewa lengo la Ukawa ni nini?
Napenda kujiridhisha kwa kusema kuwa, kiongozi na mshawishi mkuu wa Ukawa yupo nje ya Bunge Maalum Katiba.
Hivyo tunapo washauri warudi Bungeni inakuwa ni kazi bure, kwa sababu mhusika Mkuu wa UKAWA harusiwi kuingia Bungeni kwani si mjumbe. Lipumba, Mbowe na Mbatia wanafuata mkumbo tu na wala si akili zao.
Kama zingekuwa zao wangekuwa wamesikiliza ushauri wa wananchi wa kurudi Bungeni, kwani tunaamini kuwa ya Bungeni husuruhiana huko huko.
Kwa mara nyingine kama kweli ni nyinyi tunaowafahamu basi rudini bungeni.