Ukianzia Lindi kwa Baruan hadi Biharamlo kwa Mbassa, ukitoka Kigoma kusini kwa Kafurila hadi Pemba kwa Mnyaa, Kasikazini kwa Mbowe mpaka Tabora kwa Lipumba. Wengi wamebeza lakini wanaobeza ni wale amabao hatukutegemea watupongeze. Sisi tunaendelea kukakata anga na nchi kavu kulikomboa taifa letu, hatutarudi nyuma maana kelele tunazosikia toka kwa adui ni kwa sababu kisu kinaingia kwenye mfupa!
Ni wapi utapata wataalam wa sheria kama Lissu, Jussa na Prof Safari? Ni wapi utapata utaalam wa kutukuka wa uchumi kama Prof Lipumba? Ni wapi utapata msomi mzalendo kama Dr Slaa, Ni wapi utapata vijana wazalendo wanaoipenda nchi yao kama Lema, Mtatiro, Mnyika, Kafurila, Machali na Mkosamali? Wapi utapata Simba wa siasa kama Maalimu Seif?
Najiuliza utapata wapi akina mama wapiganaji kama Mdee, Sakaya, Abwao, Faida Bakari, Kuruthum, Kamili na Gekul? Akina mama ambao wako tayari kuacha watoto na waume zao wakaenda kuandamana kwa ajili ya kupigania haki na usawa wa nchi hii. Na huko wanaishia kaambulia vipigo, kuswekwa ndani na kudhalilishwa, ama kweli kikosi hiki ni kama timu ya taifa. Na kuanzia sasa napendekeza kiitwe UKAWA aka TIMU YA TAIFA.