Bodaboda,Mama na baba ntilie,Wamachinga,Maskini waliosahaulika kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada zote,wakulima,wasiojiwza,ombaomba,vijana,watoto,wazee,wawekezaji,wafanyabiashara wa daraja zote,waamini,Makabila yote,wasomi,wafungwa,maabusu,ombaomba wote,wanafunzi wote,Nchi majirani,Rafiki ya CCM wote,Act,na ni rafiki yako.Mpe kura yako Lowasa,kumaliza mateso ya ugumu wa maisha
Kurahisisha Tu Kazi Ungesema UKAWA Ni Rafiki Ya Wapumbavu Na Malofa................. Kama Alivyowaita Rais Mstaafu NINAYEMPENDA KULIKOTUKUKA Wa Awamu Ya Tatu Na Genius Benjamin William Mkapa.
Kurahisisha Tu Kazi Ungesema UKAWA Ni Rafiki Ya Wapumbavu Na Malofa................. Kama Alivyowaita Rais Mstaafu NINAYEMPENDA KULIKOTUKUKA Wa Awamu Ya Tatu Na Genius Benjamin William Mkapa.
Alafu we jamaa utakuwa ni mwezi mchanga.
Umewasahau wapumbavu na malofa.Bodaboda,Mama na baba ntilie,Wamachinga,Maskini waliosahaulika kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada zote,wakulima,wasiojiwza,ombaomba,vijana,watoto,wazee,wawekezaji,wafanyabiashara wa daraja zote,waamini,Makabila yote,wasomi,wafungwa,maabusu,ombaomba wote,wanafunzi wote,Nchi majirani,Rafiki ya CCM wote,Act,na ni rafiki yako.Mpe kura yako Lowasa,kumaliza mateso ya ugumu wa maisha
Kamchague peke yakoooooo!! Baaaaa!