UKAWA, ni nani amewaloga?

UKAWA, ni nani amewaloga?

Reuters

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
375
Reaction score
160
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?
 
Attachments

  • 1443893712616.jpg
    1443893712616.jpg
    30.6 KB · Views: 489
Hapo unawalaumu ukawa au kikwete na ccm yake. Japo sio lazima hapo pawe ni monduli
 
Nenda anakotoka Magufuli uangalie hali ya watu wake halafu utuambiae ccm amewaloga nani.
 
Wao hawahitaji mabadiliko chochote, wanahitaji hela yake tu
 
Huko monduli wanatawala ukawa?
Wewe hujui tu! Unakiumbua chama tawala vibaya mno!
 
Nyerere alikuwa Raisi kwa zaidi miaka 20 na Butiama palikuwa pamechokaaaa,viongozi wazuri uwa hawapendelei nyumbani..CCM OUT
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Lowasa kanunua saccos ya Mzee Mtei, kwa sasa kila anachosema ni ndiyo mzee.
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Kila siku narudia kusema hakuna mmasai maskini kwenye hii dunia, ni namna mtu anavyoamua kupangilia maisha yake. Mmasai wa miaka 21 ana ngombe 120-150, kila dume asiye na afya ni shilingi 700,000 piga hesabu ya chini hapo ni sawa na millioni 70 kwa ngombe walio nenepa dume inaenda hadi 1.2M. Shida ya wamasai wengi ni kuwa hawajasoma kwahiyo wanashindwa namna ya kupanga pesa. Wamasai maskini wanaitwa ndorobo wao wanaishi maporini. Hakuna kijiji Tanzania nzima kilichoendelea kama Monduli lakini wamasai maisha yao hawapendi kujikweza kama watu wengine ndio maana wanaishi kama maisha ya shida.
 
Na kwa wale wamasai waliosoma hadi darasa la nne akajua kuhesabu na kuandika ukifika Arusha mjini wao ndio wanaojua kuhusu madini kuliko watu wote. Mwenye kubisha hapa aandike.
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Jk kawa mbunge miaka 20 plus urais chalinze ndio jimbo linaongoza kwa madarasa y tope n umasikini uliotopea.....hoja yko peleka lumumba
 
Kila siku narudia kusema hakuna mmasai maskini kwenye hii dunia, ni namna mtu anavyoamua kupangilia maisha yake. Mmasai wa miaka 21 ana ngombe 120-150, kila dume asiye na afya ni shilingi 700,000 piga hesabu ya chini hapo ni sawa na millioni 70 kwa ngombe walio nenepa dume inaenda hadi 1.2M. Shida ya wamasai wengi ni kuwa hawajasoma kwahiyo wanashindwa namna ya kupanga pesa. Wamasai maskini wanaitwa ndorobo wao wanaishi maporini. Hakuna kijiji Tanzania nzima kilichoendelea kama Monduli lakini wamasai maisha yao hawapendi kujikweza kama watu wengine ndio maana wanaishi kama maisha ya shida.

Mbona wamasai wanakuwa mafisadi sasa mkuu?

Hawaridhiki?

Lowasa plz
Rasilimali zetu tuachie

Magufuli ndio mkomboz
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Wewe ni mwendawazimu kabisa,kazi ya kuleta maji sio ya mbunge bali ni ya wizara ya maji,haya kawaulize pale wizara ya maji kwa niji monduli hawana maji
 
Kila siku narudia kusema hakuna mmasai maskini kwenye hii dunia, ni namna mtu anavyoamua kupangilia maisha yake. Mmasai wa miaka 21 ana ngombe 120-150, kila dume asiye na afya ni shilingi 700,000 piga hesabu ya chini hapo ni sawa na millioni 70 kwa ngombe walio nenepa dume inaenda hadi 1.2M. Shida ya wamasai wengi ni kuwa hawajasoma kwahiyo wanashindwa namna ya kupanga pesa. Wamasai maskini wanaitwa ndorobo wao wanaishi maporini. Hakuna kijiji Tanzania nzima kilichoendelea kama Monduli lakini wamasai maisha yao hawapendi kujikweza kama watu wengine ndio maana wanaishi kama maisha ya shida.

Kwahyo unakili kwamba hawana elimu. Ameshindwaje kuwawezesha elimu wananchi wake aje kusema elimu ndio kipaumbele chake? wakati ameshindwa kwenye jimbo lake
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?
Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?
Naomba nikuulize mleta mada, hivi tatizo la maji liko Monduli tu au liko kona zote za Tanzania kuanzia vijijini hadi mijini? Je Lowassa amewahi kuwa Raisi wa Taifa hili? Ni lini alichaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Tanzania? Ndio maana anaomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania aweze kuleta mabadiliko tunayoyahitaji. Ngoja nikupe ushahidi wa ninachokisema;

Reuters, naomba nikutembeze sehemu tofauti hapa Tanzania, mijini na vijijini uone mwenyewe shida ambayo wananchi wa taifa hili wamekuwa nalo kwa muda wa miaka zaidi ya hamsini ya CCM. Hizi picha zimechukuliwa kwa wakati tofauti na katika mazingira tofauti zikionesha hali ilivyo Lindi hadi Mara, Dar es Salaam hadi Kigoma na hapa sijaweka picha za mkoa wa pwani anakotoka Raisi wetu wa sasa Jakaya Kikwete. Haya twende;

Picha ya kwanza kabisa ni ya Dar es Salaam na picha ya mwisho kabisa ni ya Songea, hayo ndiyo maendeleo chini ya CCM na sasa wanatuomba tena Watanzania tuwape tena miaka mitano...ni uenda wazimu!
 
Back
Top Bottom