Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

Ili Mti Unawiri vizuri Sharti Majani yadondoke yaliyochoka yadondoke. (Kwa wanaojua miti). Kwa wasomaji wa Biblia Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Je Nanyi mwataka kuondoka?" Ni vema miti ipukutike majani yaliyochoka
 
KAMA NI GENGE LA WAHUNI WANANCHI NDIO WANAJUA. EBU THUBUTU WAINGIE UWANJANI USIWAZUIE UONE KAMA NI GENGE AU KITU GANI THUBUTU!!!
 
Boss sikiliza! CCM ni waoga sana. Na wakati wote mtu mwoga hukimbilia mabavu
 
Mkuu ulijuaje haya yote?
 
Hilo jina sio wewe covid 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…