UKAWA ndani ya jiji la Arusha

Uwanja umefurika watu niwengi, kama ccm baado mnaiwaza Arusha imekula kwenu Arusha watu wanajitambua Serekali 3 ndio habari ya mjini kwa sasa.. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu....
 
Uwanja umefurika watu niwengi, kama ccm baado mnaiwaza Arusha imekula kwenu Arusha watu wanajitambua Serekali 3 ndio habari ya mjini kwa sasa.. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu....

....natia timu hapo soon ngoja ni vae ki Tanganyika Tanganyika !!!!
 
leo ni siku nzuri ya vibaka wa arusha kufanya uporaji ndio maana wamefurahi sana

We jamaa ni gonjwa zaidi ya tukujuavyo,mara unasema mji mepooza tena unasema watu wamefurahi mtu huyo huyo gamba kuu wewe hizi hela za nape hapo lumumba zimeharibu akiri za watu yote imekuwa mitaahira.

BACK TANGANYIKA
 
hii habari ina kaharufu fulani si kazuri kama ka msalani vile au mwandishi katoka msalani bila kunawa????
 
Picha basi, ili angalau tuamini usemacho, siyo kuleta maneno ya kwenye khanga, hypocrisy is a bad disease.
 
Weekend yangu leo inaanza vizuri sana kwakuwaona UKAWA
 
Mbona mwaka huu CHADEMA hamkuwakumbuka "mashujaa" waliofia kwenye maandamano? au ndio imetoka hiyo!
 
Ofisi leo zimefungwa mapema mno....Watu wana miminika viwanja vya Samunge....

Watu wanahamasa sana..

Acha kudanganya wananchi. Kazi zinaendelea kama kawaida, hakuna dalili yeyote kuwa kuna mkutano wa siasa mjini hapa.
 
...lol!!!! Mimi pia nilitaka kumuuliza swali hilo hilo, hii ni dalili ya kuweweseka kuhusu nguvu ya UKAWA kuelekea 2015. Tutaona na kusikia mengi sana dhidi ya UKAWA.

eti yupo nyuma ya keyboard anasema yupo arusha kwenye duka lake mara akaona mtu anampungia mkono eti kugeuka akamuona ni docta slaa.ameuumbuka
 
Mkuu MSALANI chadema bila zitto wana yumba
 
Last edited by a moderator:

utang'ong'a sana mwaka huu!poor you!midomo ka mlamba ugoro!
 
Mimi nilikuwa nimesimama hapa mitaa ya Metropole nje ya duka langu, nashangaa naona mtu kama BABU ananipungia. Ikabidi niangalie pembeni.

Hilo duka kama ni lile la kusukuma sawa, tofauti na hapo ni msalani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…