MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

Wewe mbona muda wa kumfatilia Dr slaa unao,
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.
Endeleeni kutumia kete ya 'mzee' na 'kudhoofu' tuone kama itawasaidia ccm.
Udini na Ukanda zimefeli sasa mmekuwa mungu na MAYAHYA wa kujua nani anakufa baadae.
Angalia sana MSALANI maelezo yako kwa kuwa Mungu anakutazama na ndo ameushikilia uhai wako.
Muda mwingine tumiaga kichwa kabla ya!
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.
Mimi nilikuwa nimesimama hapa mitaa ya Metropole nje ya duka langu, nashangaa naona mtu kama BABU ananipungia. Ikabidi niangalie pembeni.
Mimi nimeripoti tu hali halisi hayo mengine ni tafsiri yako tu.