chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mbunge wa jimbo la Simanjiro, James millya ametoa msimamo kwa niaba ya Kambi rasmi ya upinzani Bungeni (Ukawa) kuhusu mwenendo wa Naibu Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson leo alipozungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Amesema hawana Tatizo na wabunge wengine wa CCM ila naibu spika kwa kuwa ndiye mwenye maelekezo sahihi ya kukandamiza demokrasia ndani ya bunge
Amesema hawana Tatizo na wabunge wengine wa CCM ila naibu spika kwa kuwa ndiye mwenye maelekezo sahihi ya kukandamiza demokrasia ndani ya bunge