UKAWA na Zitto acheni unafiki

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
Bunge lipo na linaendelea juzi serikali ilikuwa sahihi kwa kanuni ya 94 a kuwasilisha kwanza mpango wa mwaka mmoja kabla ya mpango wa miaka mitano.

Asubuhi hati za kuwasilishwa mezani UKAWA wameshawasilisha mpango wao wa kambi ya upinzani mezani.

Hawa mabwana wameamua kuanza kupotosha.
 
Back
Top Bottom