CHADEMA mnafurahisha sana!
Kwa hiyo wewe
Makene unayewasemea UKAWA ndiyo umekuwa officially msemaji wake?.
Wewe unatofauti gani na huyu unayemzodoa na kudai siyo msemaji wa UKAWA.
Kadri siku zinavyojibainisha, baadhi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA mtakuwa busy kutoa matamko kama ilivyo jadi ya CHADEMA.