Ukawa na tatizo la katiba ya vyama vyao

Ukawa na tatizo la katiba ya vyama vyao

kiongozi mau

Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
25
Reaction score
0
Ukawa umeibuka dodoma na kuanza mikutano zanzibar, swali langu je vyama vyao vilikaa vikao gani kuizinisha muungano wa ukawa? Maana sijasikia baraza kuu la cuf, cdm wala nccr je muungano una baraka za nani? Na kwa maslai ya nani? Nyie wanachama wa vyama hivyo munautambua uhuni huu? Nawasilisha
 
UKAWA ndio habari ya mujini...sijui magamba mtakimbilia wapi
 
Vyama vyao vyenyewe vinaendeshwa kihuni hicho kikao au vikao havina nafasi.
 
Ukawa umeibuka dodoma na kuanza mikutano zanzibar, swali langu je vyama vyao vilikaa vikao gani kuizinisha muungano wa ukawa? Maana sijasikia baraza kuu la cuf, cdm wala nccr je muungano una baraka za nani? Na kwa maslai ya nani? Nyie wanachama wa vyama hivyo munautambua uhuni huu? Nawasilisha

Umetumwa na msaliti Zitto?!
 
pumba.
 
Back
Top Bottom