Naomba kuuliza, msinijibu kwa Matusi tafadhali. Hivi Muungano wa UKAWA unaishia kwenye Serikali ya Muungano peke yake? Kule Zanzibar kwa Wawakilisha na Masheikha mbona hatuoni hesabu za Kugawana Majimbo, Masheikha wala Urais? Maana naona Maalim Seif ashapitishwa bila baraka za UKAWA.