UKAWA msipo fanya haya kura yangu mmeikosa 25 0ctober

jorojo

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,642
11
Hili jambo kila siku linazungumziwa hila hatujui kwamba viongozi wapo siriusi kiasi gani katika hili sote tunajua kwamba CCM wamejimilikisha viwanja vya michezo vya umma sasa basi umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) kuweka katika ilani yenu kwamba viwanja vyote vitarudi mikononi mwa serikali kama hili litakuwepo kwenye ilani hata CCM wakiiba kura ntakuwa teyari kuingia mtaani kupambania kura zetu.
Lapilli tunataka ahadi zinazo tekelezeka na zinazomgusa kila mtanzania kama kuzuiya mfumuko wa bei na kushusha bei either kwa lazima au kwa marithiano ili kila mtanzania afurahiye kuwa mtanzania tuna sema Tanzania bila mfumuko wa bei inawezekana na Tanzania bila ya bajeti ya kutegemea walevi inawezekana
UKAWA TUPO PAMOJA CHAMSINGI NI KUKAZA BUTI NA TUSIJIBISHANA NA CCM YA NAPE HAINA JIPYA WANATAFUTA HEADLINE NOW…….NAONA WANAJITEKENYA WENYEWE KISHA WANACHEKA…….KAMA VIPI TUKUTANE OCTOBER.
 
Na wewe naona hujitambui kabisa. Badala ya kuwaambia akina Mbowe, Mtei, Komu na Ndesa na familia yake waache kuwa wanagawana ruzuku ya chama unasema CCM wanyang'anywe viwanja. Ufisadi wa CDM ndio utakaoiua. Miaka yote hiyo hata kiwanja cha kujenga ofisi za makao makuu mmeshindwa? Kweli huu mradi wa familia. Hawataki asset za kudumu maana CDM yenyewe sio ya kudumu. Akina mtei wanajua misingi ya kuanzishwa kwake na mwisho wake wanaujua. Na ninaona umeshafika maana ishakuwa kampuni ya ENL na familia yake.

Kama unataka viwanja na wewe hamia CCM. Nyinyi mmeshawapa malo yoyote iliyopatikana ndani ya chama kipindi cha akina Zitto, Mkumbo, Kabour, Mchange, Chacha Wangwe kabla hamjawapiga Zengwe? Fikiria kwanza upande wako kabla hujamnyoshea kidole jirani yako. TUMIA AKILI
 
kijana umenifurahisha sana kwahiyo kwakuwa chadema wanakula ruzuku zao ndiyo ukipe uhalali ccm ya kuendelea kuzuiya viwanja vya umma, CCM tunaomba viwanja vyetu ni mali yetu vilijengwa na watanzania warudishieni
 
Back
Top Bottom