UKAWA, Mpitisheni Reginald Mengi kuwa Mgombea Urais

UKAWA, Mpitisheni Reginald Mengi kuwa Mgombea Urais

Heshima mbele wanajamvi,

Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mgombea urais kupitia UKAWA .

Nimefikia kwa ndugu Mengi kuwa ndiye hasa anayeweza kuivusha UKAWA hapa ilipo kuliko kumuweka mmoja wa viongozi wa vyama vyao.

Dr Mengi ni maarufu na amejijengea heshima kubwa katika nchi hii katika kudai raslimali za nchi zisiporwe na wageni.

Kwa mtazamo wangu anaweza kuwatoa.
 
Kuna kukosea kufikiri kama wewe umekosea kabisaa kufikiri
 
Mengi amekuwa mwizi na kuwadi wa wezi. Maeshaungana na Rostam Aziz watu aliokuwa anawataja kama "mafisadi papa". Amemuunga Edo katika harakati zake za kununua nchi. Ameanza kutumia vyombo vyake vya habari vibaya kwa kuwauza wezi na kuwatetea.

Hafai kwa sasa. Amenunuliwa na wanasiasa.
 
Back
Top Bottom