GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,314
Wekeni utaratibu wa kuingia na devices za kurusha saut nje kama inavyotumika simu. Bunge linapoanza mnakuwa kama mmeipigia simu Radio X Hivyo mjadala unarushwa hewan moja kwa moja kupitia device au kifaa hicho.
Wazo jingine ni kuwa hata simu zinaweza tumika mkaipigia radio X wakat Bunge linaanza nayo ikaanza kurusha matangazo live.
Serikali ilisema nia ni kubana matumizi ninyi itafuteni nia yao halisi kwa kuwatafutia njia mbadala ili mwishowe waseme kuwa tatizo lao hasa ni nini.
Suala la muda wa kazi si kigezo. Kwan muda gan ambao watanzania wote wanakuwa free?