Ukawa wabishi sana,tuliambiwa kwamba migogoro ndani ya ukawa imekwisha,mbona hapa kahama mjini vyama vyote vimesimika wagombea udiwani?ina maana kura tuzitapanye?jamani eeh!sisi wapiga kura mnatuchanganya!!!!!afu upande wa ubunge nashuhudia Chadema wamesimika jimbo la ushetu,jimbo la kahama mjini,jimbo la msalala..nccr wamesimika ushetu.....duh wapiga kura tutapanye kura?sijajua huko majimboni kwenu.....jadili.