SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
- Thread starter
- #21
Poa poa mkuuNaunga mkono hoja.100% ila niongezee hapo waungane wamsimamishe mgombea urais mmoja tu.nafasi ya ubunge kule chama kinakokubalika vyama vyote vinawasha moto kumpigia mmoja tu basi.mengine yote tuko pamoja